Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Sijamlaumu yeyote, kiruka njia ni type ya mtu sio lawama.Sasa kama ninyi ndiyo mnawagonga halafu mnasepa kwanini mnawalaumu na mnawaita viruka njia?
Yupo sahihi. Si kila mwanamke anafaa kuoa. Kiruka njia hafai kuoa, kiruka njia ni tatizo kujenga naye mahusiano yenye muendelezo. Kanuni sahihi ya kutafuna chewing gum ni SH&R = Succeed, Hit and Run.Na je mwanaume ambaye naye anagonga na kusepa ndiyo yuko sahihi na hana makosa?
Labda, huelewi kiruka njia yukoje pengine ndio maana unapanic: kiruka njia ni type ile ya mtu mke mwenye macho yenye kuona material things kuliko mahusiano yenyewe. Huyu ukifahamiana naye leo tu, kesho kashafika mfukoni kwako...hii chapa, tupa.