Tetesi: Kuvunja Kamati za Bunge: Spika aseme ukweli!

Ulisema hutaki ukuu wa wilaya sasa inakuwaje mkuu?!
Mkuu MUTUYAMUNGU, kiukweli kabisa ma DC ni muendelezo tuu wa a colonial legacy, they should have been redundered long ago!. Wakurugenzi can replace them.

Kwa vile ma DC wapo kikatiba na kisheria, then ni waheshimiwa wetu halali ila sio kila mtu anaweza kuwa DC mzuri. Kuna wengine can do more than just being a DC!.
P
 
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.

Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.

Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Walivuta takrima kwa ajili ya nini hasa?
 
Msigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Kosa moja halijustify kosa lingine na kulifanya lisionekane Kama ni kosa! Kama una mtoto kikojozi nawe utakojoa kitandani kwa kuwa yeye anakojoa Kila alalapo? Ccm Ina watu wasiojua kufikiri sawasawa!
 
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.

Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.

Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Sio Kwa Tanzania niikuayo,kwani,Ile milungula ya wazi wazi huko roadini hamzioni🤸🤸🤸🤸
 
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.

Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.

Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Ninachojua mimi, kila baada ya miaka miwili na nusu Spika ana mamlaka ya kubadili (sio kuvunja kama analivyoandika mtoa post) wajumbe wa kamati mbalimbali. Haya ni Mamlaka ya Kisheria aliyonayo Spika. Zitto aliwahi kubadilishwakutoka kamati ya Hesabu ya Mashirika ya Umma na kupelekwa Kamati ya Huduma za Jamii.
 
Wanapaswa kuwa jela kwa kuchukua mlungula
Watangulie waliotoa huo mlungula maana imenenwa kuwa Mtoaji na Mpokeaji wote ni wakosefu.
Kama unawafahamu wapokeaji ni dhahiri hata watoaji unawafahamu pia.
 
Msigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Zilongwa mbali zitendwa mbali
Sijui hata kama umeelewa hoja husika.
Taifa hili linasafari ndeeeeefu sana kufika huko kunako neema
Kwamba mnyika na lisu wakivuta rushwa .!rishwa ni halali kw wengine wote?
 
Back
Top Bottom