Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu MUTUYAMUNGU, kiukweli kabisa ma DC ni muendelezo tuu wa a colonial legacy, they should have been redundered long ago!. Wakurugenzi can replace them.Ulisema hutaki ukuu wa wilaya sasa inakuwaje mkuu?!
Walivuta takrima kwa ajili ya nini hasa?Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Kutowasulubu dhidi ya Ripoti ya CAGWalivuta takrima kwa ajili ya nini hasa?
Kosa moja halijustify kosa lingine na kulifanya lisionekane Kama ni kosa! Kama una mtoto kikojozi nawe utakojoa kitandani kwa kuwa yeye anakojoa Kila alalapo? Ccm Ina watu wasiojua kufikiri sawasawa!Msigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Unajua wewe na nani?Tunajua una ujinga,ila jitahidi kuuficha
Sio Kwa Tanzania niikuayo,kwani,Ile milungula ya wazi wazi huko roadini hamzioni🤸🤸🤸🤸Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Bunge halina meno,inasikitisha sana tumerudi nyuma sana km vile ndiyo tumeanza vyama vingi.Kutowasulubu dhidi ya Ripoti ya CAG
Ninachojua mimi, kila baada ya miaka miwili na nusu Spika ana mamlaka ya kubadili (sio kuvunja kama analivyoandika mtoa post) wajumbe wa kamati mbalimbali. Haya ni Mamlaka ya Kisheria aliyonayo Spika. Zitto aliwahi kubadilishwakutoka kamati ya Hesabu ya Mashirika ya Umma na kupelekwa Kamati ya Huduma za Jamii.Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa maafisa masuuli. Wabunge ambao hawakuvuta walichachamaa na taarifa kumfikia spika ambaye alichukua hatua ya kuvunja kamati.
Hoja kwa Spika
Kwani sheria za kudeal na rushwa zimebadilika? Nikafikiri walitakiwa kukabidhiwa PCCB
Msigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme
Watangulie waliotoa huo mlungula maana imenenwa kuwa Mtoaji na Mpokeaji wote ni wakosefu.Wanapaswa kuwa jela kwa kuchukua mlungula
Zilongwa mbali zitendwa mbaliMsigwa aliwahi kuvuta pesa
Lissu pia
Mnyika ndio usiseme