ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mnavyo jidanganya?hauwezi kuvunja yai kwa mtindo wa kulibana ncha ya juu na ncha ya chini labda kama utacheat kwa kulibana pembeni, hiyo ya matikiti sina uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani huyu?
mbona nimechangia mkuu kwan shida iko wapi ? au kutaja jina lako la ikisimama panda imekuwa nongwa ?basi poa ikilegeza mwendo shukaMkuu kwani ni dhambi kupita thread bila kuchangia chochote? kama haujui si unatulia tuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana Kiongozi.Pole inawezekana umekosea namna ya kulibana labda ulilibana na pembeni lakini kwa kubana ncha ya juu na ncha ya chini hauwezi kulivunja mpaka kesho
Sent using Jamii Forums mobile app