MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Nilipata radius fracture, nikaenda hospital wakanifanyia surgery, wakaniwekea wire(chuma) nimekaa navyo hadi 6week wakanitolea. Sehemu ya radius imekaa vizuri ila huku kwenye ulna bone pamenyanyuka. Nashindwa kuelewa sijui hawakunifanyia surgery eneo hilo, mkono una rotate(kuona kiganja) degeree kama 80 badala ya 90.To be sure naomba kuuliza tena ulipata infection au fracture?
Pia una muda gani tangu umevunjika na surgery kufannyika?
Umewekewa support ndani kwa maana ya chuma plate screw .....?
Then ntaweza kupata mwanga wa kukujibu hapa.