Nilipata radius fracture, nikaenda hospital wakanifanyia surgery, wakaniwekea wire(chuma) nimekaa navyo hadi 6week wakanitolea. Sehemu ya radius imekaa vizuri ila huku kwenye ulna bone pamenyanyuka. Nashindwa kuelewa sijui hawakunifanyia surgery eneo hilo, mkono una rotate(kuona kiganja) degeree kama 80 badala ya 90.