Kuvunjika kwa uchumba

Nenda polisi kitengo cha jamaa kipo utapewa mwongozo.
Usisahau na kudai pete yako
 
Kafungue madai kupitia sheria ya ndoa kupotezewa muda
 
Polisi hausiki hpo nenda mahakani kafungue madai ya kupotezewa muda
 
Pole sana, kuna kijana mmoja pia yalimtokea kama yaliyo kutokea wewe...Sema yeye alikuwa na akili za matope, alitoa mahali kupitia muamala wa simu.
 
Mkuu naomba nijue tafadhali. Je ulimkuta na bikra?
 
Oooh ok sawa nashukuru ndugu na vipi nasikia Kuna kudai pia zawadi na pesa ambazo alikuwa akipewa mkiwa wachumba Kuna ukweli kwenye hili.
Ushahidi upo? Umeshasema ni zawadi
 
Oooh ok sawa nashukuru ndugu na vipi nasikia Kuna kudai pia zawadi na pesa ambazo alikuwa akipewa mkiwa wachumba Kuna ukweli kwenye hili.
Hee[emoji849]
Unadaije zawadi mkuu??
Ukimpa mtu zawadi umempa,hakuna mambo ya kudaiana zawadi.

Si ajabu ukute hata wewe ulimtumia Sana binti.
 
Umeeleza kwamba katika hiyo familia mabinti hawaolewi?Kuna shida sehemu.Tumia watu wa karibu yao kudodosa ili upate tu hata funzo la kuja kuwapa watoto wako mbeleni.
 
Pole Mkuu kapata mhuni anayesimamia kucha. Atampelekea moto wa kutosha kisha atasepa hapo ndiyo atakaporudi kwako kuomba radhi ili mrudiane.

Mara nyingi huwa inakua ivyo mkuu, anamwacha uyu kisha anaenda kwa mwingine akijua ni bora zaid ya yule wa mwanzo kumbe anajiingiza kwenye fireeeeee🔥🔥🔥🔥
 
Reactions: BAK
Sema bro, unaongea ukweli, ambao unauma kinouma, ila ndo ukweli.
 
Point iko hapa,hii ni vita ya kiroho tafuta viongozi wa dini uwashirikishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…