Kuvunjika kwa uchumba

Kuvunjika kwa uchumba

Sasa dada yangu kama muhusika hakupendi,hivi unaenda kushitaki au kulilia wapi kwa mfano?

Huna pa kushitaki kwenye mahakama yeyote duniani

Jishitakie kwenye moyo wako binafsi

Ni kwamba hupendwi,you are not worthy kwa muhusika,of which ni haki yake maana haiwezekani akakukubali tu eti sababu wewe usiumie moyo,yeye anaangalia his own best interest,wewe moyo wako kuumia is none of his business!

Hiyo ndio reality dada yangu
Ahaaahaaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aseee
 
Hivi mtu unaenda polisi kushughulikia swala la kiduwanzi kama hili kweli?

Mwanamke hakupendi,sasa hadi muda wa kufata hiyo mahari utakua nao kweli?

Sirudi popote,wale,nitapata michongo mingine

Kupotezewa muda?Yaani kwamba ulipiwe muda wako?

Jeez

Dunia hii kuna vishoia kabisa
Mahari lazima irudishwe vinginevyo huyo ni mkeo. Vijana wakizazi kipya mambo haya ya jadi hamuelewi mnachukulia poa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

"Hata ukirudishiwa mahali hupendwi, the fact ni kwamba hupendwi"

Mwisho wa kunukuu wajuba

Saint Anne
"Mpaka mtu unaenda kudai mahari urudishiwe tayari wewe ni usie na maamuzi sahihi na pia wewe ni masikini na una muda wa kupoteza"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ndio weye? Umekuja na gia namba 5.. tueleze ilikuajekuaje ukampiga chini mpenzi wako?

Saint Anne
Ushawahi kupata feelings za kumchoka mtu? Yaan unaanza kumuona wa kawaida alafu wa kawaida tena!!
Hakushtui tena, hamna maajabu. Unamuona yupo yupo tu kama zezeta!!🤣🤣

Stage hii malaika wa Bwana wasipoingilia kati ndiyo unakuta yanatokea kama ya mleta mada.
 
Haha ha ha ...mquote umbishie uone[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee!!!
Yale matusi yake unadhani nayataka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi nikimquote huwa najihami mapema kwamba asinitukane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa anasindikiziaga na matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom