Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Siyo wote wanaishia kujuta.Wanaume wanapitia wakati mgumu mno kaka, there are some sisters hawana compassion wala faith. Lakinii most of them uwa wanaishia kujuta na kutamani warudiane, Too late
Siyo wote wanaishia kujuta.
Wengine wanaenda sehemu nzuri zaidi ya waliyotoka.
Ya Mungu mengi[emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kuna wengi pia wanapata furaha waendako[emoji16]Nimesaid "most of them"
Inakushangaza nini? Side B story unaijua?Very sad mkuu. Na inashangaza sana kwa decision alochukua uyo mdada.
ila wewe ni zaidi ya kishoiaHivi mtu unaenda polisi kushughulikia swala la kiduwanzi kama hili kweli?
Mwanamke hakupendi,sasa hadi muda wa kufata hiyo mahari utakua nao kweli?
Sirudi popote,wale,nitapata michongo mingine
Kupotezewa muda?Yaani kwamba ulipiwe muda wako?
Jeez
Dunia hii kuna vishoia kabisa
Inakushangaza nini? Side B story unaijua?
Ahaaahaaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa dada yangu kama muhusika hakupendi,hivi unaenda kushitaki au kulilia wapi kwa mfano?
Huna pa kushitaki kwenye mahakama yeyote duniani
Jishitakie kwenye moyo wako binafsi
Ni kwamba hupendwi,you are not worthy kwa muhusika,of which ni haki yake maana haiwezekani akakukubali tu eti sababu wewe usiumie moyo,yeye anaangalia his own best interest,wewe moyo wako kuumia is none of his business!
Hiyo ndio reality dada yangu
Hupendwii[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] sasa wewe ndo unachekesha
Mahari lazima irudishwe vinginevyo huyo ni mkeo. Vijana wakizazi kipya mambo haya ya jadi hamuelewi mnachukulia poa..Hivi mtu unaenda polisi kushughulikia swala la kiduwanzi kama hili kweli?
Mwanamke hakupendi,sasa hadi muda wa kufata hiyo mahari utakua nao kweli?
Sirudi popote,wale,nitapata michongo mingine
Kupotezewa muda?Yaani kwamba ulipiwe muda wako?
Jeez
Dunia hii kuna vishoia kabisa
"Mpaka mtu unaenda kudai mahari urudishiwe tayari wewe ni usie na maamuzi sahihi na pia wewe ni masikini na una muda wa kupoteza"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
"Hata ukirudishiwa mahali hupendwi, the fact ni kwamba hupendwi"
Mwisho wa kunukuu wajuba
Saint Anne
Ushawahi kupata feelings za kumchoka mtu? Yaan unaanza kumuona wa kawaida alafu wa kawaida tena!!
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu[emoji23]Kweli my dada, unakuta aliekuanae mwanzo may be hajaturia, mlevi, mzinifu, ayuko closed na Mungu inapelekea binti anacchoka na kufanya decision.
Saint Anne ushaolewaa? [emoji1787]
Hupendwii[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] sasa wewe ndo unachekesha
Wewe hujawahi kupitia kipindi Cha kumchoka mtu?
Haha ha ha ...mquote umbishie uone[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Mimi ananichekesha..natamani aendelee kuandika nizidi kucheka tu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aririri ririz wa ririz 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha ha ha ...mquote umbishie uone[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aririri ririz wa ririz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]