Kuvunjika kwa uchumba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wyatt Mathewson
 
Kwa mujibu wa sheria za ndoa za mwaka 71 kuna kifungu cha kudai fidia hata zawadi iwapo ulipotezewa muda kwenye swala la uchumba. Maadamu ulitoa mpaka mahari huyo mtu alikusudia kukupotezea muda, tafuta mwanasheria mpeleke mahakamani utapata haki yako sasa hivi matukio ya kuuana kuhusiana na maswala ya mahusiano yamekuwa mengi hilo litatoa fundisho na kuwasaidia wale wanaopenda kuchukua sheria mkononi kujua kumbe wanaweza kupata haki zao bila kuchukua sheria mkononi.
 

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…