Injili inasonga mbele bila kurudi nyuma[emoji23][emoji23]
Naomba yasinikute,na pia naomba nisije mfanyia hivyo mtoto wa watu.
Last month niliota nimevunja uchumba siku ya ndoa,shughuli zinaendelea watu washajaa ukumbini mimi nikamwita pembeni nikamwambia noo siolewi.
Yaani eti niliota nimeandaliwa harusi ya surprise bila mimi kujua,nachukuliwa,napambwa,napelekwa ukumbini ,naambiwa eti ni harusi yangu,Bwana harusi namjua na hakuniambia kama ananioa,ila hiyo harusi hakuna hata ndugu yangu anayejua.
[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Ndoto nyingine hizi ni balaa tupu[emoji23]