Wakuu habari zenu,
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo juu
Je, hi kitu inayoitwa kuwa blacklisted kwa employee kutokana na tukio ulilofanya katika ajira yako iliyopita ni kweli???
Nauliza sababu I have a brother alikuwa muajiriwa katika taasisi fulani ikatokea tukio la wizi lililosababishwa na internal staffs na lilihusisha section yake.
Baada ya tukio na hatua zote kufuatwa ikiwemo wengine kukaa lupango ikawa termination kwa wote waliokuwa involved directly or indirectly.
Sasa shida ni kwamba ni mwaka wa tano sasa hajaitwa interview yoyote msoto mkali.
Nasikia kwa sheria za Tanzania hi kitu inayoitwa blacklisting or kuzuia your previous employee from obtaining another job ni illegal
Shida ni kwamba hawezi kulalamika wala ku-sue popote kwa sababu there is no vivid evidence that he has been blacklisted by his previous employer.
Wajuvi wa mambo please tujuzane nini kinaweza fanyika mtu akiwa kwenye fungu hilo?
Je, ni kweli hii kitu ipo?Maana imebaki kama myth,hakuna uthibitisho kwamba kweli yuko blacklisted?
Wataalamu wa sheria na wahanga waliokwishapitia katika hali hii mtueleze mlivyotegua hiki kitanzi.