- Thread starter
- #21
Nami nilimshauri abadili fani yaani ikiwezekana atafute kazi tofauti na fani aliyokuwa anafanya mwanzo,maana nasikia Kuna sector Zina mchezo huo Kama banking,mining na NGOs ila ukifanikiwa kupata kazi nje ya previous sector unakuwa umevukaHii kitu niliiona kwenye mining watu walikua wanabankiziwa kesi enzi hizo na wabongo wenzetu wanashabikia, then wanaambiwa wamekua blacklisted kwenye mining zote za Tanzania. So sijajua kama ilikuia na effects kwao maana sikuweza kuwasiliana nao mpaka sasa nijue what has been the outcome /consequences kwao