Nami nilimshauri abadili fani yaani ikiwezekana atafute kazi tofauti na fani aliyokuwa anafanya mwanzo,maana nasikia Kuna sector Zina mchezo huo Kama banking,mining na NGOs ila ukifanikiwa kupata kazi nje ya previous sector unakuwa umevukaHii kitu niliiona kwenye mining watu walikua wanabankiziwa kesi enzi hizo na wabongo wenzetu wanashabikia, then wanaambiwa wamekua blacklisted kwenye mining zote za Tanzania. So sijajua kama ilikuia na effects kwao maana sikuweza kuwasiliana nao mpaka sasa nijue what has been the outcome /consequences kwao
Ni kweli,..ila si unajua unapomuomba Mungu kwenye shida,unakuwa umetangaza Vita na shetani,Naye huamua kukaza KITANZI haswaaaMwambie amrudie Mungu,aache kulalamika sana kila Jambo na wakati wake na kusudi lake.
Akikata tamaa mwambie mkewe ataliwa na bodaboda maana yeye hana kipato.
Huwezi muuliza Hilo swali kipindi hiki labda Kama unataka tutwangane ngumiHela alizoiba alipeleka wapi?
Huwezi muuliza Hilo swali kipindi hiki labda Kama unataka tutwangane ngumi