Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Ndio, kila mtu anajua hawa ni watu wenye akili kubwa mno na inaaminika ni Mungu kawajalia huo uwezo. ni watu wanaoaminikaa kufanya mapinduzi ya kisayansi duniani na inaaminika nyuma ya teknolojia ya marekani kasimama muisraeli.
kwanini nawaambia muishi kama muisraeli? sababu hii hapa, katika maisha kila mtu anataka mafanikio, ya kimwili, kiroho na pia kiuchumi, sasa kama wewe ni mtu unahitaji mafanikio kuwaiga hawa jama ni jambo muhimu mno kwakoo, Unaambiwa hawa jamaa hawana rafiki permenent yaani anakuwa na rafiki akiwa na interest ya kitu fulani.
Yes, hio ni njia sahihi ya kuishi katika Dunia ya sasaa hautakiwi kuwa na rafiki wa moja kwa moja eti mnaenjoy tu urafiiki bila kupata interest yoyote kuwa na rafiki huku ukiwa unajua kwake kuna kitu utapata hicho unachokitaka ukikipata unabadili interest tena kwa mwingine kama umeona kuna kitu utakipata kwa mwingine nae vivo ivo unakuwa na urafiki nae ili utimize interest yako
Ukifuata hiyo mbinu utakuwa na mafanikio makubwa sana na hakuna mtu atakujua kiundani amana unakuwa na target yako special zaidi kuliko kuwa na urafiki ambao hauna malengo.
Asubuhi Njema.!