Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,100
- Thread starter
- #61
Umenifurahisha hapo kwenye umbea mkuu....
Inategemeana na status yako. Kuna watu mnalishwa na wazazi haudaiwi kodi ya nyumba, haudaiwi ada ya mwanao ama mdogo wako, haudaiwi hela ya matumizi ya nyumbani kwako, so hata ukiwa na group moja sio ishu. Biashara siku hizi imehamia kwenye magroup ya telwgram na whatsap na mpesa, tigo pesa nk. So mm ninayo kama 25 kuna ya kazini, familia, group moja tu la kupiga umbea nalo huwa halina post hata wiki nzima