Kuwa kwenye makundi mengi ya WhatsApp ni ujanja au ushamba?

Umenifurahisha hapo kwenye umbea mkuu....
 
Basi bado mshamba sana.

Wafikiri kila kitu lazima kikusaidie vingine ni socialization tu.

Kwenye grups za watu mliosoma nao kwakweli huwa tunasaidiana kwenye shida na Raha..watu hukusanya mamilioni kusaidia wenzao.
Waweza jiona una hela sana lkn Kuna wakati utaahitaji msaada
Hayo ya kanisani...huwa tunajunza neno la Mungu kila siku na Mambo mengine ya imani...sasa wewe unasubiri kanisani tu...pole sana.

Anyway haya Mambo ni mtazamo tu...Kuna mwingine ukimwambia habari za JF anakushangaa hataree wakati mie naona it's the best social media
 
Kwani kuna ulazima niwe na group la niliosoma nao mkuu.... Hakuna sababu za msingi km hakuna ulazima maana tulishamalizana nao huko huko school km ni wa msingi nadhan sio lazima tukutane kwa group..
Kwa urahisi zaidi kuwasiliana na wadau wengi uliosoma nao iwe school or chuo, mojawapo n njia hiyo ya grps ndo huko utapata michakato mingi ya kiofsi na kibiashara na mambo km hayo mengi. So m naona kuwa na grps nyingi ni kujua mengi pia ila ziwe grps za maana cyo hzo za kungonoka.
 
Ni kweli mkuu usemalo ila hili naona ilikua hapo mwanzo sio sasa mana ukitathimin siku hizi sio km awali hata mie hapo awali nilikua mpenz sana wa hizi group tofaut tofaut na nikimake more money through dat but kwasasa mambo yamebadilika kidgo mkuu mtu anaanzisha tu group akijisikia na kusambaza link ovyo then ukitaka kujoin ni upupu tu tofaut na akichokilenga mhusika.... So ndio maana naona km ushamba sasa
 
Nimekuelewa mkuu ila binafsi nimejiajili niko full en biashara yang haiitaji kujitangaza kiasi icho mpk lazima niwe na group et so nna group moja tu la kifamily coz ndo muhim zaid kwangu mengine naona ni kupoteza muda tu but hii ni binafsi so kwa maelezo yako pia km inakusaidia na kukuingizia kipato we yaongeze hata yafike mia kabisa mkuu.... But binafsi idnt like
 
True
 
Binafsi nna group moja tu la family...
Huwa nawashangaa sana wale wenye groups karibu 50+ za Whatsapp hivi huu ni ujanja au ni ulimbukeni? Isije kuwa mie ndio mshamba?!
Kama anamagroup ya sijui utamu,sijui mapenzi,na mengine ya namna hiyo basi ni ushamba lakin sio kila mwenye magroup mengi ni mshamba maana mengine ni kwa manufaa,
 
Umenikumbusha mbali ulivo andika hilo jina la huyo bwana jaguar
 
Me nadhan ungeenda ukawauliza watu wa instagram aya maswal ndo watu wana 450k na hata hajulikan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…