Sasa hapo mkuu unataka msaada gani
Au unaona uchungu kwa vitu alivyokula wakati huna uhakika wa kuwa nae faragha yako unayoisemea
Mheshimu nae ana nafasi yake na huo muda ni wake
Na sio hata kama umetoka out na m.tu wako lazima mfanye hilo kuna mengine ambayo mtayafanya kama wapenzi
Duh namuona babu Asprin hapo chini ngoja nikimbie Blaki Womani habari za masiku, mzima wewe
mie mzima nasubiri mwaliko wa mbesi
Usiwe na shaka utaalikwa muda wake ukifika dear
nashukuru kwa uzima wako
Hebu washaurini vijana hawa ambao wanajua kukaa faragha na mpenzi/mchumba ni lazima wafanye mambo ya kiutu uzima aise
Kufanya sio lazima licha ya kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
"mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali"Jamani nieleweni hapo.
Kufanya sio lazima licha ya kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
Mimi aki nidanganya ata ishia kulamba riperemende hadi kuchwe!
mie mzima nasubiri mwaliko wa mbesi
Demu bazazi kweli.....kwa nini hakukuambia mapema kabla hamjafika huko.....?.....
Mimi aki nidanganya ata ishia kulamba riperemende hadi kuchwe!