BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Kumbe ukitoka out na msichana lazima kunaniliu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
Kwani mapenzh ni kusex tu?
sasa unataka afanye hata akiwa kwenye siku zake.....kwani kuwa faragha ni lazima mavitu yafanyike

"mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali"Jamani nieleweni hapo.
sasa unataka afanye hata akiwa kwenye siku zake.....kwani kuwa faragha ni lazima mavitu yafanyike
Wifi ukiupata huo mwaliko na mie unizoe nna mche wa sabuni hapa lol!
Mkuu
kuwa wazi tu (kwa red) kwamba alipaswa akujulishe ili usiingie gharama
zote hizo
Babu Dark City njoo ufunde wanao.
Wanamme wanaisha hivi hivi tukiwaona.
Yaani hao kuku na soda na hela ya gesti imeumaa???
Unadhani yeye hapendi mshedede?? Au yeye ahajaukumbuka??
wifi utakuwa wa kwanza kujulishwa daaah wifi kwa ubahili usisahau mshiko msimbazi 2