Kuwa kwenye Siku (Mwezi)


Ni halali kabisa kumla t.i.g.o kwa nini asingesema mapema mpaka mnachukua chumba lipo kimya tu.
 
sasa unataka afanye hata akiwa kwenye siku zake.....kwani kuwa faragha ni lazima mavitu yafanyike

Angetoa taarifa jamaa ajipange kwa hilo. Isingemlazimu kuingia gharama ya chumba. Maisha ni magumu si kama madem mnavyofikiria.
 

huku JF magreat thinkers tupo wengiiii?au ndio tumesha isha?
 
Suala hapo ni siku zake ama ni hiyvo vinywaji na misosi alivyogonga... Kwani hiyo achibobo yake si ipo tuu.
 
Yan kakubali mtasex alaf anakwambia yuko kwenye siku zake! Huyu haku amini.

Na huu ni utovu wa nidhamu
 
Babu Dark City njoo ufunde wanao.
Wanamme wanaisha hivi hivi tukiwaona.

Yaani hao kuku na soda na hela ya gesti imeumaa???

Unadhani yeye hapendi mshedede?? Au yeye ahajaukumbuka??
 
Last edited by a moderator:
sasa unataka afanye hata akiwa kwenye siku zake.....kwani kuwa faragha ni lazima mavitu yafanyike

Ni kweli kabisa siyo lazima wa do, lakini nadhani concern ya mleta mada ni kitu ustaarabu.

Ni demu wako hamjaonana muda mrefu halafu hajampa taarifa ya kuwa yupo ..... kwa mantiki hiyo jamaa kisaikolojia ilimchanganya.

Siyo hilo tu, inawezekana hata mtu akawa hajisikii vizuri lakini taarifa ikitolewa mapema inakuwa bora zaidi.

Mwisho mleta uzi kama ikitokea hali kama hiyo inabidi ukubaliane na hali halisi ila inabidi umpe darasa mpenzi wako kuwa siku nyingine akutaarifu mapema kama anahisi una dalili za kutaka kula tunda ili ujiandae kisaikolojia na baada ya kula kunywa na kusaza ni love story.
 
Lakini hiyo Romance si ndo mavituz yenyewe? Na kama ingebidi kwenda mbali zaidi, kuwa kwenye siku kunazuia nini?
 
Mkuu
kuwa wazi tu (kwa red) kwamba alipaswa akujulishe ili usiingie gharama
zote hizo

hapo umenena coz inaonekana kilichomuuma ni kulipia menu,cjui hay ndio
yangekuwa malipo?hiv mtu Hawezi kumnunulia mpnz wake chakula na drinks
just out of love!had u expect sex as a reward!i wish Huyo dada angeisoma
hii thread
 
Wapenda kungönoka utawasikia wanavyolalamikia kupata mbunye!!!kwan unataka 2kikutana tu niseme"nipo kwnye cku zangu leo"?yamekuwa matangazo?na km sipo nikwambie!mtoa mada inaonekana unaona machungu na ubahili hvyo kila ukimuita mpenzio unakuwa unahesabu ya kumlala...ndio nyie ambao hamuwezi kuwaita wapenz wenu kwa ajili ya kuongea na outing mpaka iwe kwa kuchapana,loh!unanikera
 
Reactions: LD
kwanza mwanamke mwenye akili akishakutana na mwezi wake toka mapema hua wanatoaga signal kua leo mambo ndio tayari haiwezekani na mwanaume tayari unakua ushapata msg so hata ukiamua kulipia chumba unakua unajua kabisa kua leo hamna kitu...japokua kuna wale ambao hawaonagi noma wanapiga hivo hivo hawajaligi yuko kwenye siku or no siku
 
Babu Dark City njoo ufunde wanao.
Wanamme wanaisha hivi hivi tukiwaona.

Yaani hao kuku na soda na hela ya gesti imeumaa???

Unadhani yeye hapendi mshedede?? Au yeye ahajaukumbuka??

Ila lawama zangu ni kwa jk. Pesa za mawazo ndo zinasumbua, ukute room ilikuwa ya bei ghali kama 10,000! Na ina feni!

Pole mwaya kaka. Mpige chini huyu
 
Uyo dem siyo mstaarabu, si angesema tu mapema kuwa leo kisima mzee ujijue kama vipi mpange mtiko wa kawaida asa kakuacha adi geji imepanda si adhabu hiyo ?
 
wifi utakuwa wa kwanza kujulishwa daaah wifi kwa ubahili usisahau mshiko msimbazi 2

Nasubiria kujulishwa lol......hahahahah mjini hapa wifi bila kuwa bahili ntajenga mie?......mie ntafanya msimbazi 3 ili ujue kuwa wifiyo sijachacha tehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…