Mimi aki nidanganya ata ishia kulamba riperemende hadi kuchwe!
Nasubiria kujulishwa lol......hahahahah mjini hapa wifi bila kuwa bahili ntajenga mie?......mie ntafanya msimbazi 3 ili ujue kuwa wifiyo sijachacha tehe!
.Inonesha hapo alikuwa na tamaa ya vyakula na vinywaji.Tamaa inawasumbua sana baadhi ya dada zetu
Hivi na ya vinywaji na vyakula nayo inaitwa tamaa ama ulafi tu kama sio njaa? Watu wazima wanatamanigi vyakula?
Kufanya sio lazima licha xa kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
Kwa nini asikupe "BJ" tu?Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
hapo umenena coz inaonekana kilichomuuma ni kulipia menu,cjui hay ndio
yangekuwa malipo?hiv mtu Hawezi kumnunulia mpnz wake chakula na drinks
just out of love!had u expect sex as a reward!i wish Huyo dada angeisoma
hii thread
Pole mkuu kwa kujiandaa na kukosa kumega tunda...... alipenda kuwa nawe faragha hakuona umuhimu wa kukwambia mapema labda kama ulimuliza akakubali kufika huko akabadili mawazo vinginevyo bado sioni shida hapo
Mwambie akaoge, aipige maji vizuri then uendelee!
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
Kaunga una ma-experience ya hatariiiiii!usiwe una mwaga maarifa yote hapa kuna watoto wanapitaga humu wakaenda kujaribu mambo wakiwa wako shallow ktk maarifa wakaharibu mambo!
kaka hajakutendea haki ulimkagua kweli alikuwa na pedi?..."mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali"Jamani nieleweni hapo.
Ila lawama zangu ni kwa jk. Pesa za mawazo ndo zinasumbua, ukute room ilikuwa ya bei ghali kama 10,000! Na ina feni!
Pole mwaya kaka. Mpige chini huyu
Kumbe ukitoka out na msichana lazima kunaniliu...