Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

hahahah mzee usimkumbushe mbali kijana kamua kumezea huwenda anaendelea na matibabu huku akimeza

PrEP​

Asikae nacho kijiba cha roho tumsaidie.. Huku mjini ukiingia kichwa kichwa unaweza hata kuandaliwa fumanizi na mume au mke feki
Huku mjini kuna,mpaka wakwe feki, mashemeji feki, mimba feki... Ndio maana nikamuuliza kajuaje
 
Back
Top Bottom