Kuwa makini na Apps za Mikopo

Bora ya branch liba yao ni nafuu
Halafu branch hata ukope laki tano, hawakupigii simu Wala nini, wewe mwenyewe tu uamue kuwalipa kwa muda unaotaka.
Juzi nilikopa laki Saba nirejeshe ndani ya mwezi. Nataka nifike kiwango Cha kukopa laki nane nione Kama hawatanipigia simu.
Kuna siku niliwapigia kuwataarifu kwamba nitachelewa kulipa kwa siku tano, huyo mdada somebody Wella alinijibu.
"Usiwe na wasi wasi Kaka hatuna haraka kihivyo isitoshe mkopo wako Ni mdogo tu 300,000/"
 
Uwongo
 
Wabongo hii tabia siyo nzuri kabisa, mnauwa biashara za wenzenu, hebu imagine ungekuwa ni wewe unafanyiwa hivyo ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…