Kuwa makini na Apps za Mikopo

[emoji122][emoji1666][emoji106][emoji109]
 
Kausha tu mkuu ni washenzi sana.. ni mwezi wa 7 sasa huu hawaja nitafuta tena walichoka wenyewe wana sms zao za vitisho wala zisi kupe shida hizo ni script wame pewa huwa wana copy na kuwa tumia wote wala usi wajali [emoji91]wana no. Zaidi ya 50 zote ziko blocked

Kampuni nzuri ni branch tu hawa atuja wahi kukwazana kabsaa
 
Hao wanafanya kuweka riba kubwa ndan ya muda mfupi makusud ili kufidia watakaoshindwa kulipa na wale watakaolipa ili kubalance vitabu vyao,we usiwalipe hamna kitu watafanya hao,izo simu watapga watachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…