Kuwa makini na Apps za Mikopo

Pesa X Wana nidai 75k nilitaka kulipa kauli zao za kinyoko nikaacha kulipa na wakasema kadri na vyo Chelewa riba inpanda nikawajbu poa subrin nalipa walpga cm Sana nikaweka block all incoming call new number wakaanza piga kwa mzamin bro na
b mkubwa saiz wameacha wakaja wasap wakawa wanauliza kwa ukali unalipa au ulipi jibu haraka na ukijibu ovyo utaona cha Moto Nika waambia silipi na Nina kihitaji icho cha Moto kije nikipoze kiwa cha barid pumbavu ziiiii mpaka leo kauli zimewaponza
 
Mimi wadhamini niliweka namba za uongo [emoji3]
 
UMEKUWA MTU WA KULAZIMISHWA KUFANYA MALIPO YA DENI LAKO KILA SIKU, MUDA HUU TUNAKUPA NAFASI YA MWISHO KULIPIA DENI LAKO SASAIVI, WEWE NI MTU MZIMA TUTAHAKIKISHA TAARIFA ZA UTAPELI ZINAFIKA KWA WATU WAKO WA KARIBU KAMA HAUTOFANYA MALIPO HAYO NDANI YA MASAA MAWILI...
EPUKA USUMBUFU, OMBA MENU LIPA SASA
 
Mikwara tu hiyo,Mimi walishanipigia,wakatuma sms Kama hizo Hadi wakachoka.Mwishowe tukachokana tukapotezeana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…