[emoji1787]Hawa wapumbafu washaanza kunisumbua wakati deni lao mwisho kesho
Hahaha wewe kama mm tu hukuwa na nia ya kuwalipa.Kilichonifanya nisiwalipe Ni sms Kama hizo,eti kisa nilipitiliza siku 1 tu!!
HawakupiNimewalipa naona wamepandisha dau la mkopoView attachment 2674560
Ngoja tuone...Hawakupi
Ukisoma vizuri huu Uzi utajua Ni kwanini biashara nyingi za kizalendo Tanzania hazitoboi.. hivi unavyokopa ukashindwa kulipa unapata wapi nguvu ya kujisifu Kwa wizi??Ili Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?
Acha.usenge kima we.Ukisoma vizuri huu Uzi utajua Ni kwanini biashara nyingi za kizalendo Tanzania hazitoboi.. hivi unavyokopa ukashundwa kulipa unapata wapi nguvu ya kujisifu Kwa wizi??
Wakuu.. wizi sio mzuri unaweza Kuta unajufungua milango ya Baraka pasipo kujua.. Ni ushauri tuu, unakuta huyo anae kupigia simu ajira yake inategemea malipo yako ili akaitunze familia yake n.k
Chunga Sana mkuu ipo siku huo wizi utakufanya uchomwe moto.. jifunze Kula Kwa jasho usipokuwa makini utaliwa tackle mjini hapaAcha.usenge kima we.
Serikali wanaiba matrion ya hela ..
Ka Elfu 20 ndo mnisumbue sumbue eh
Wewe ni nani?Chunga Sana mkuu ipo siku huo wizi utakufanya uchimwe moto.. jifunze Kula Kwa kasho usipokuwa makini utaliwa tackle mjini hapa
Wamempgia simu wife na sikumuweka kama wadhamini watakuwa wamepata wapi namba yake wamenshtuanmeblock no zao 15.View attachment 2680517
Huo ndio uhalisia wetu mkuuKwa comment hizi bongo bahati mbaya
Mtu anakopa kwa lengo la kudhurumu then anafurahi kabisa baada ya kufanikiwa azma yake.Huo ndio uhalisia wetu mkuu
Halafu tunalalamika viongozi mafisadi
Matendo yetu yanaturudia
Mimi walinikopesha 10000 eti nikaingiziwa ef6Matapeli kuliko wote ni Umoja loan. Hawa jamaa ni balaa. Na vitisho mpaka kwa familia yako.