Kuwa makini na Apps za Mikopo

Kuwa makini na Apps za Mikopo

Washaanza usumbufu
Screenshot_20230628-131352_GBWhatsApp.jpg
 
Sielewi kwa nini hii nchi inaruhusu mambo kama haya. Nani mdhibiti wa hivi vikundi? Wanajipangia riba tofaut kabisa na sheria za nchi.

Kila unapoingia online wanapiga promo kumbe wananchi wanateseka hivi? Wafungiwe kuanzia sasa waonje maumivu.. CC@Mwigulu
 
Ili Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?
Ukisoma vizuri huu Uzi utajua Ni kwanini biashara nyingi za kizalendo Tanzania hazitoboi.. hivi unavyokopa ukashindwa kulipa unapata wapi nguvu ya kujisifu Kwa wizi??

Wakuu.. wizi sio mzuri unaweza Kuta unajifungia milango ya Baraka pasipo kujua.. Ni ushauri tuu, unakuta huyo anae kupigia simu ajira yake inategemea malipo yako ili akaitunze familia yake n.k
 
Kukumbembeleza tumechoka , tunaprint taarifa zako na za wadhamini wako utaenda kuwajibika na TCRA na wanasheria wetu kushirikiana na BODI YA MIKOPO uripotiwe kama tapeli wa mtandaoni uzuri vitambulisho vyako tunavyo na picha zako ulipiga mwenyewe wakat unachukua mkopo,maanake unakua kama huelew wajibu wako tulikusaidia kipindi unashida na hukulazimishwa kukopa MKOPOWAKO na Deni letu umegoma kulipa Wala kupokea simu zetu na messages unasoma na unazipuuzia na kila siku unatoa ahadi za uongo,Huu ndio mkumbusho wa mwisho, utawaponza wadhamini wako na walikubali kukusaidia kwa uzuri na kukudhamini.
N:B,,,LIPA DENI LA AWALI TUTOE PENALT KWA ASILIMIA 100
 
Ukisoma vizuri huu Uzi utajua Ni kwanini biashara nyingi za kizalendo Tanzania hazitoboi.. hivi unavyokopa ukashundwa kulipa unapata wapi nguvu ya kujisifu Kwa wizi??

Wakuu.. wizi sio mzuri unaweza Kuta unajufungua milango ya Baraka pasipo kujua.. Ni ushauri tuu, unakuta huyo anae kupigia simu ajira yake inategemea malipo yako ili akaitunze familia yake n.k
Acha.usenge kima we.

Serikali wanaiba matrion ya hela ..

Ka Elfu 20 ndo mnisumbue sumbue eh
 
Huo ndio uhalisia wetu mkuu
Halafu tunalalamika viongozi mafisadi
Matendo yetu yanaturudia
Mtu anakopa kwa lengo la kudhurumu then anafurahi kabisa baada ya kufanikiwa azma yake.
Ndio maana mimi hata mtaani mtu akija kukopa 20k hata kama ninayo simpi, badala yake nitamtafutia 5000 ambayo atachagua arudishe au asirudishe poa tu.
 
Matapeli kuliko wote ni Umoja loan. Hawa jamaa ni balaa. Na vitisho mpaka kwa familia yako.
Mimi walinikopesha 10000 eti nikaingiziwa ef6
halafu nilipe 12000
nikawauliza vipi mbona deni linasoma elfu 10 halafu tigopesa mmeniingizia 6000 wakasema 4000 hela ya ofisi nilishangaa sana.
nikatoa ef5 ndo ikawa ntolee hio mpaka leo walipiga mpaka wakachoka nikawaambia kama mnataka niwalipe 6000 yenu wakakataa wakaanza kunipandishia riba
 
Back
Top Bottom