Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakopa futa App yao muda huo huoWamempgia simu wife na sikumuweka kama wadhamini watakuwa wamepata wapi namba yake wamenshtua
Nilikuwa nataka kukopa Branch na sijawahi kukopa nimedownload app Yao na kujisajiri ila nimeambiwa nisubiri baada ya siku 7 , je huwa inakuwa hivi hivi kwa mteja wa kwanza au ?
Mbona kama mnafundisha kutapeli hizo app!Ukishakopa futa App yao muda huo huo
😀😀Mm pesa x wamenidai mpka wakachoka mm ndio nikaanza kuwatongoza wale mabinti mwishoe wakaniconnect na wahudumu wa kiume hao ni balaa ukiwatania kidogo wanakutukana 😂😂 kiufupi hizi mikopo nizamchongo tu
Wenyewe wanadhulumu sana watu. Eti mkopobwa 40,000 riba ni 300 na service charge 15,000 ndani ya siku 8 plus matusi, vitisho na kejeli juu na bado faini ya 2% kila siku. Hiyo siyo dhuluma? Au baasi tuuite wizi wa mchana kweupeDhulma si nzuri,lipa hiyo pesa.
Mimi nimewaelekeza hadi ninapoishi, waje twende mahakamani.Huko jela tutakua wengi sana sababu ya hawa watu mana sina mpango wa kulipa.
View attachment 2661064
Hao Pesa X/Cash X mimi pia nilitaka kuwalipa baada yakupitiliza siku, ila ghafla ikaja sms ya matusi na kejeli. Nilipandwa na hasira sana na nikaghairi. Sikuwalipa tena na wamehangaika hadi wamechoka maana ni mwendo wa block tuu. Hawana kauli nzuri hao washenziPesa X Wana nidai 75k nilitaka kulipa kauli zao za kinyoko nikaacha kulipa na wakasema kadri na vyo Chelewa riba inpanda nikawajbu poa subrin nalipa walpga cm Sana nikaweka block all incoming call new number wakaanza piga kwa mzamin bro na
b mkubwa saiz wameacha wakaja wasap wakawa wanauliza kwa ukali unalipa au ulipi jibu haraka na ukijibu ovyo utaona cha Moto Nika waambia silipi na Nina kihitaji icho cha Moto kije nikipoze kiwa cha barid pumbavu ziiiii mpaka leo kauli zimewaponza
😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Wamempgia simu wife na sikumuweka kama wadhamini watakuwa wamepata wapi namba yake wamenshtua
Kitambulisho Cha NidaIli Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?
Ila watu hamna huruma,meseji ya kinyonge kama hii bado unakomaa haulipiMkopoWako
*
*KIAS*140180.000
MkopoWako:
UMEKUWA MTU WA SABABU NYINGI, UMEKUWA MTU USIYEONA UMUHIMU WA KULIPA DENI LAKO. WAPO WENGI WENYE SHIDA NA UHITAJI WA MUHIMU WANASHINDWA KUPATA MSAADA KWA SABABU YA UTAPELI NA UDHURUMAJI WAKO.
WAPO WAGONJWA WANATEGEMEA HIYO PESA ULIOKAA NAYO. ROHO NYINGI ZINATESEKA KWA SABABU YAKO.
MAUMIVU JUU YAO, VILIO VYAO NA MATESO YOTE WANAYOPITIA HAKIKA YATAKUJA JUU YAKO.
KUWA BINADAMU USIWE MNYAMA, WAONEE HURUMA BINADAMU WENZAKO WENYE SHIDA REJESHA PESA ILI WAPATE MSAADA.
AU TUPIGIE WADHAMINI WAKO TUWAELEZE JINSI UNAVOLETA USUMBUFU JUU YETU LABDA WATAKUSAIDIA KULIPA
N.B: LIPIA DENI LAKOO LA AWALI TUKUONDOLEE PENALT KWA ASILIMIA 100
Sa branch wanatoa elf 10 ya wa Nini hao?Bora ya branch liba yao ni nafuu
Uwe na simu janja na NIDA number.Ili Ukope huko yabidi uwe na vitu gani vya msingi?