Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator.
Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe mwenzako yupo busy kutafuta content. Atachukua matukio halafu wakati wa editing anaangalia vituko au Nani kakaa nusu uchi then anatupia mtandaoni ili apate viewers.
Bora utumie simu yako mwenyewe kuchukua matukio.
Na wewe content creator kuliko kulipa gharama kukodi camera so Bora utumie simu yako tu?
Kwanza content zako unazipata ontime kuliko kukodi camera man ambae anakupa kazi yako baada ya wiki mbili tena kwa kukusumbua