Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Movement zako ni zipi kwenye status...Sahihi 100%
Good broSio kila aliye ku follow , au anaye ku view WhatsApp status ni rafiki yako / anakupenda .. wengine wanga na hafurahii movement zako be cautious.
Usidhani majambazi , wachawi , watu wenye husda hawapo mitandaoni . Kuna watu wapo wanakufwatilia kuliko unavyofikiria
Wazo lote la mitandao ya kijamii ni kufuatilia nyendo za watu. Kama hutaki kufuatiliwa au una mashaka na nyendo zako achana na mitandao kabisa kabisa kabisa.Sio kila aliye ku follow , au anaye ku view WhatsApp status ni rafiki yako / anakupenda .. wengine wanga na hafurahii movement zako be cautious.
Usidhani majambazi , wachawi , watu wenye husda hawapo mitandaoni . Kuna watu wapo wanakufwatilia kuliko unavyofikiria
Usianike sana maisha yako na lifestyle yakounaweza vipi kua makini na followers mkuu?
Wewe hata vyeti vyako nina uhakika havipo vizuri . Unashida kwenye uelewaWazo lote la mitandao ya kijamii ni kufuatilia nyendo za watu. Kama hutaki kufuatiliwa au una mashaka na nyendo zako achana na mitandao kabisa kabisa kabisa.
Kuna ile umefanikiwa maybe nyumba , gari , familia , sio salama kujionesha mitandaoniMovement zako ni zipi kwenye status...
Wac wac ndio akiliFear of unknown
Vyeti vyangu vimenyooka kama rula. Ni kati ya zile akili chache za miaka ya 90 huko. Wewe mtoto wa 2k mnasokomezwa kwenye vyumba vya madarasa kama mbuzi wa kafara huwezi nifikia hata robo.Wewe hata vyeti vyako nina uhakika havipo vizuri . Unashida kwenye uelewa
Wac wac ndio akili
Ni kweli kabisa , hiyo ilimkuta yule raaper wa SA , A.K.A majambazi walikuwa wakimfutilia location yake kupitia instaSahihi kabisa, hata ukijipiga picha usi-post mda huo huo maani ni rahisi sana ku-tractiwa kupitia picha.
Hakuna kuogopa wewe post tu...Kuna ile umefanikiwa maybe nyumba , gari , familia , sio salama kujionesha mitandaoni
Usiku mwema leejay. Kwenye hili tumepishana mawazoSema hii mada tumeiongelea humu mara nyingi sana,. Nimechoka tu kuandika inabidi niseme Sawa
Asante na kwako pia mkuuUsiku mwema leejay. Kwenye hili tumepishana mawazo