Kuwa makini na followers wako sio wote wanakupenda mitandaoni

Kuwa makini na followers wako sio wote wanakupenda mitandaoni

Sio kila aliye ku follow , au anaye ku view WhatsApp status ni rafiki yako / anakupenda .. wengine wanga na hafurahii movement zako be cautious.

Usidhani majambazi , wachawi , watu wenye husda hawapo mitandaoni . Kuna watu wapo wanakufwatilia kuliko unavyofikiria
Unakuta boya ana-comment kwenye post yako et " nimeamini duniani hakuna mtu mwembamba" au. " vipi upo shemeji yule yule au?" Afu ana chekacheka..
 
Ishi kwa kumpendeza Mungu inatosha, kuishi kwa hofu na kuwaogopa watu haiwezi kukusaidia, kujificha kwenye macho ya wanadamu na kwa Mungu upo wazi, itakugharimu tu.
 
Mdogo wangu wa damu GENTAMYCINE huwa anapenda sana kujisifia kuwa na followers wengi humu jukwaani! Nadhani huu ujumbe unamhusu kabisa.
 
Sio kila aliye ku follow , au anaye ku view WhatsApp status ni rafiki yako / anakupenda .. wengine wanga na hafurahii movement zako be cautious.

Usidhani majambazi , wachawi , watu wenye husda hawapo mitandaoni . Kuna watu wapo wanakufwatilia kuliko unavyofikiria
Mimi nina marafiki wa kweli,Lucas Mwashama,Choicevariable,Tlaatlaah a.k.a Mzee wa Gombe,japo tunatofautiana mitazamo ila maswahiba.Hivyo jua adui ni yule mnaye nuniana,ila mnaocheka na kutaniana,labda tu aamue kuwa Yuda.Tena nimepanga siku nimtafute kila mmoja tuyajenge.
 
Ni kweli kabisa , hiyo ilimkuta yule raaper wa SA , A.K.A majambazi walikuwa wakimfutilia location yake kupitia insta
. Yeah ni rahisi sana wahuni kukupata. Sehemu ulipo.....

. Ndo maana wajanja wengi hawatumii simu za kawaida kupiga picha, bali wananunua camera 📸.
 
. Yeah ni rahisi sana wahuni kukupata. Sehemu ulipo.....

. Ndo maana wajanja wengi hawatumii simu za kawaida kupiga picha, bali wananunua camera 📸.
Kuna utofauti kati ya picha ya camera na ya simu ? Naomba unijuze
 
Back
Top Bottom