Kuwa makini na followers wako sio wote wanakupenda mitandaoni

Ulivyo accept our requests ulitarajia nini?Ulivyosave no. zetu ulitarajia nini? Tutakufuatilia hadi ukome kupost bichwa lako🤣🤣
 
Jf una followers wangapi unipunguzie lo?? Nina mmoko ambae ni wewe tu doh!!
 
Mtu anakaa hana cha kufanya anaanza kujamba, akishaliza anaanza kufikiria huku amezingirwa na ushuzi kila kona ndio mwishowe anajikuta amendika post isiyo na kichwa wala miguu, nonsense!!!
 
Mtu anakaa hana cha kufanya anaanza kujamba, akishaliza anaanza kufikiria huku amezingirwa na ushuzi kila kona ndio mwishowe anajikuta amendika post isiyo na kichwa wala miguu, nonsense!!!
Una shida ww haupo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…