KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

Kwenye jamii wapo watu kwao kutapeliwa ni kama maji tu hawatayaoga watayanywa,just imagine mtu anajua kabisa toka amekuwa na akili hajawahi kucheza mchezo wowote wa kubahatisha but anatumiwa tu text ......

“Bahati yako leo umejishindia 50mills maelekezo weka kiasi fulani cha fedha kwenye namba........ kisha utapewa maelekezo ya kupata zawadi yako” na mtu anatuma kweli hela kwa mtu asiyemjua anakaa anasubiri maelekezo ya kupata mill 50 za bure ambazo hajawahi kujaribu kuzipata wala kuzifanyia kazi
 
Hizo ndio ziro brain(Akili mfu)!Wakinga ndio waliwao .
 
Wajinga sio wakinga ,samahani!
 

Attachments

  • Screenshot_20250301-194938.png
    174.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…