Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
"Nionyesha rafiki zako nikwambie wewe ni nani"Imani potofu zinamaliza watu sana.. Tuwe na hekima katika utafutaji sio kila unachoona unaenda kukifanya matokeo yake unaingia gharama mara mbili!
Peer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.
Na wewe unaamini chaguo la kuitoa damu yake kafara ni sahihi na angekuwa tajiri?Kupanga ni kuchagua kama angewin angepata machawa wajinga wajinga
Huyo Dogo umemuona mkuu ni chapa yake kabisaPeer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?
Ndio maana nikarudisha mpira kwa kipa, labda mwanamke aliropoka maneno fulani yale ya kwanza huyu mtoto ana baba yake wewe sio baba yake usinibabaishe na chochote, mwamba akaona isiwe tabu akafungua buchaHuyo Dogo umemuona mkuu ni chapa yake kabisa
Halafu si wanasema kafara inabidi Utoe damu yako kabisa ?
Mahakama iliamuru apimwe vinasaba na mabaki yaliyopatikana DNA result ikaonyesha ni wake 99%Peer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?
Imani bila maarifa..ni uangamivuImani potofu zinamaliza watu sana.. Tuwe na hekima katika utafutaji sio kila unachoona unaenda kukifanya matokeo yake unaingia gharama mara mbili!
Ila huyu jamaa kuna vitu inaonekana amepitia tokea utotoni vimemuharibu kisaikolojiaMahakama iliamuru apimwe vinasaba na mabaki yaliyopatikana DNA result ikaonyesha ni wake 99%
Sa mpaka anamtoa kafaaa Anajua ni damu yake kabisa
Hivi tulipofika watu tunathamini pesa kuliko utu namna hii?
Mwanao kipenzi?
Mbona kuuza imekuwa jambo rahisi sana tuendako?
Kuna vitu vya kuwasingizia wanawake ila hili ni tamaa binafsi za kuwa tajiriNdio maana nikarudisha mpira kwa kipa, labda mwanamke aliropoka maneno fulani yale ya kwanza huyu mtoto ana baba yake wewe sio baba yake usinibabaishe na chochote, mwamba akaona isiwe tabu akafungua bucha
Mungu atusaidieWatanzania wengi wanaamini katika ushirikina.
Na hapa ndio chanzo cha yoooote haya.
Kama wasingeamini, hata mwamposa asingepata watu.
Marafiki zangu wako kwenye nguo"Nionyesha rafiki zako nikwambie wewe ni nani"
Mwisho wa kunukuu.
Haha wakinga tena kariakoo watakuchangamkia mimi nilimaanisha vijana wanamihemko na mafanikio ya chapuNa wewe unaamini chaguo la kuitoa damu yake kafara ni sahihi na angekuwa tajiri?
Wakinga nasikia sana habari zenu now napata picha