Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Intention to kill alikuwa nayo yeye actus reus bado inamuangukia yeye jamaa hata kama mens rea ni mkewe bado atakuwa suspect no 2! Hiyo ni malice aforethought!!
Kwa hio tumekubariana kwamba alichochewa hakuamua mwenyewe maana yake hakukusudia kuua ila kuna kitu nyuma yake kilichompelekea yeye kufanya mauaji bila kukusudia?
 
Karibu Mbeya, Iringa na Njombe uone matajiri wa namna hiyo. Usibishe bila utafiti, sisi tunaishi nao na mauzauza tunayaona
 
Je unamkumbuka mmiliki wa Fresh ya Shamba Shaban Chawe? Yuko wapi? Wako wapi hawa matajiri wa 1990s-2005 na mabasi yao akina Safina, Matema Beach, Widambe?

Nimekutajia wachache waliokuwa na mabasi mengi sawa na Aboud bus
mimi sio mkazi wa huko mkuu na hao watu siwajui, ila kama chuma zilikua zipo barabarani nzima na abiria wapo hao watu waulizwe tu walishindwa vipi biashara, uchawi kwenye gari ya mzungu, mjapan, mchina haupigi kazi
 
l Vingine wala sio makundi ya mtaani bali ushawishi wa online. Hata Chief Godlove naye kuna wakati anagusia matambiko kwenye ishu zake. Heshima inayotolewa kwa wenye fedha na jamii inasababisha watu kutafuta fedha hizo kwa njia yoyote.
 
Wakati pekee ambapo DNA Tanzania inasema ukweli ni kama huu.

Jamaa akafungwe tu.

Mali za haraka ni issue
 
Waganga wa kienyeji wamepotosha na kuharibia wengi sana
Wengine ni watu waliofanikiwa kwa njia za kificho na hawawezi kusema ukweli na kubaki kudanganya
hata hao waganga wanashawishi na kudanganya tu.mwisho wa siku maamuzi ni yako.kwa akili zako utaamua
Mganga anakwambia ukiitoa damu yako labda mwanao au mzazi wako utajiri ni uhakika na kashawasaidia wengi nawe unashawishika

Lakini ukikaa ukajiuliza huyo mganga ye hautaki utajri?
Hataki wanae wasome shule nzuri?
Wavae vizuri?
Hataki kuishi pazuri?
Mbona ye huyo mwanae hamtoi aachane na huo uganga akafanye mishe za maana huko nje kama tajiri?

Hapo ndipo akili yako itapokujibu kuwa yule ni muongo.ama njia nnayoiendea sio sahihi ni ya muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…