Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Unatafuta exception au? Atawajibika kama kawaida hata kama wataongeza hao crime suspects wengine na adhabu zao hazitofanana..
Wewe kumbe tukiwekwa Mawakili wa pande mbili tofauti nakutoa knockout, umeelewa logic and reasoning yangu kwenye hilo suala, nimekwambia ameshinikizwa kuua hakukusudia kuua umenielewa au hujanielewa? Sasa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo kuna kitu nyuma kilichomsukuma yeye kufanya mauaji ila sio kwa makusudi, mpaka hapo tumeelewana? Kitu kimoja wapo ni mama wa huyo mtoto unajua walizungumza nini kabla ya jamaa kuchukua hayo maamuzi ya kumkatakata vipande huyo mtoto?
 
naam mkuu hapo ipo very clear, tena huyo mtuhumiwa kama wakipata mganga wake aunganishwe tu
 
Halafu watu wanawasifia Wakinga kuwa ni wachapakazi na watunza akiba. Kumbe utajiri wa masharti na makafara.

Tajiri ana gorofa Kariakoo lakini anakula kwa mama nitilie na kuvaa makambuga. Hayo mautajiri hayana faida yeyote
Ngoja waje 🤣
 
Kampani hazina shida. Hata kama alishauriwa; mamlaka hazijahangaika na kampani, zimedili na mihusika.

Huwezi kukwepa kampani. Kama huwezi kuchanganua mambo, basi mantiki yakuendelea kuishi uraiani inapoteza maana.

Kama kampani inatakiwa ilaumiwe, basi kila mtu anayosababu ya kusingizia hiyo kampani na hakuna mwenye kosa.

Hii inaendea pia kwa walevi na malaya.. wamekuwa wakisingizia pombe na shetani.

Kila mtu awajibike kwa anayoyatenda, tusitafute kichaka
 
Kwani mi nimekwambia mimi ni wakili?
 
Tulishapiga kelele sana humu kwamba hakuna utajiri wa kishetani, kishirikina au kichawi.

Tatizo watanzania wengi ni wajinga. Hawataki maarifa, wanapenda imani potofu za utajiri wa kusadikika.

 
Ni kweli kampani haziwezi kulaumiwa.lakini Ina mchango wake mpaka mtu anafikia hatua hii sio yeye binafsi.kuna nguvu nyingine imechangia ukiondoa ufinyu wa kufikiri na kuchanganua mambo wa muhusika mkuu.
Watu wanakwambia Fanya hiki na kile utafanikiwa
Baada ya hapo nawe ujiulize kwanini nifanye hiki na kile?
Je ni sahihi?faida hasara?
Mwisho wa siku matokeo ni yako

Sijasema uepuke kampani Bali uwe makini nazo.kampani ovu itakushawishi Kwa maovu

Kati ya kampani inayoongelea kuuza haja kubwa ili kupata pesa Kwa urahisi na kampani inayoongelea Dili za kupata Hela halali bila kutweza utu utaenda kukaa kundi lipi?
 
l
Vingine wala sio makundi ya mtaani bali ushawishi wa online. Hata Chief Godlove naye kuna wakati anagusia matambiko kwenye ishu zake. Heshima inayotolewa kwa wenye fedha na jamii inasababisha watu kutafuta fedha hizo kwa njia yoyote.
Mwisho wa siku maamuzi ni yako pia.
Iwe physical ama online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…