Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

Kwaiyo bro ubahili umeweka kando vp kwa yule anaechamga 100 nae anakaa kundi gn maana wote humu hawaringani life style
 
Mzee wa Msoga aliwahi kusema "Za kuambiwa Changanya na zako"

Mwenyewe nakataa, huwezi kuishi kwa sabuni hadi umri ule nakataa

Jamaa wanachohubiri sicho wanachokifanya πŸ™ŒπŸ˜’
 
Wengine wapo humu, kwa ajili ya kuburudisha jukwa tu.. "hasa wale wanaoazisha thread za nataka kujiua"
 
Kama mnaoa wanawake ili wawatawaze mkiugua, basi mtakuwa mnatapeliwa kijinga sana.
KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI.
Mwingine huyu apa asa tusimame wapi maana mnatuvunja moyo sisi tunaoendelea kukua na umri umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…