Kuwa makini na mialiko ya Harusi za siku hizi unaweza ukaumbuka!!

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Nilialikwa kwenye harusi. Nilpofika Hotelini nilikuta milango miwili. Mlango mmoja uliandikwa "NDUGU WA MUME" na nwingine uliandikwa "NDUGU WA MKE".
Nili ingia ule ulio andikwa ndugu wa mume, ndani nikakuta milango miwili mingine.
1. WANAUME
2. WANAWAKE
NikIngia ulioandikwa wanaume na bado nikakuta milango mingine miwili
1. WAGENI WENYE ZAWADI
2. WAGENI WASIOKUWA NA ZAWADI.
Nilo ingia ule ulioandikwa wageni wasio na zawadi nikajikuta niko nje ya Hoteli na nyuma ya mlango mliandikwa "KATIKA HALI HII NGUMU YA UCHUMI UNATAKA TU UJE NA UNYWE BILA ZAWADI - HAIWEZEKANI"
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hili sio jukwaa la Chit chat & Jokes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…