Imani potofu.Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .
Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya wako
Unalalama hufanikiwi kumbe kunawajuzi wamebeba nywele zako au kucha kisha kuzifanyia urozi
Mwisho, Njia nzuri ni kuvichoma moto ilikuepuka hayo
Imamu inakuwaje unaamini katika shirikiMwenye masikio na asikie
Natupa tu na hakuna wa kunifanya chochote!. Yesu hakuja duniani kuzurura!.Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .
Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya wako
Unalalama hufanikiwi kumbe kunawajuzi wamebeba nywele zako au kucha kisha kuzifanyia urozi
Mwisho, Njia nzuri ni kuvichoma moto ilikuepuka hayo
UkIenda kunyoa saloon udai nywele zako sio?Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .
Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya wako
Unalalama hufanikiwi kumbe kunawajuzi wamebeba nywele zako au kucha kisha kuzifanyia urozi
Mwisho, Njia nzuri ni kuvichoma moto ilikuepuka hayo
Wewe ndiyo una uelewa mdogo sana hadi kuamini vitu vya kijinga na ndiyo maana waganga wanawatapeli sana pesa ,yaani ningekuwa nakufahamu ningekupa kucha zangu ,nywele na nguo ningekwambia kafanye chochote unachojua wewe halafu uone kama nitapata chochote kibaya.uelewa wako ni mdogo sana
King kong kichwa maji kabisaWewe ndiyo una uelewa mdogo sana hadi kuamini vitu vya kijinga na ndiyo maana waganga wanawatapeli sana pesa ,yaani ningekuwa nakufahamu ningekupa kucha zangu ,nywele na nguo ningekwambia kafanye chochote unachojua wewe halafu uone kama nitapata chochote kibaya.
Mimi hata wakati najenga watu walikuwa wanasema izindike wachawi watakuweke vitu usijenge nikaambia njoo site kwangu fukia hata kichwa cha mtu ,kaite wachawi wote waje kuweka mauchawi ,nikawaambia ukiona nimesimamisha ujenzi basi jua hela imekata nazichanga tena ,siamini kwenye vitu vya kiupumbavu ,wengi wanaoamini UCHAWI hata kimaisha wamepigika sana.
King kong kichwa maji kabisa
usijisumbue kubishana na mnafikKing kong kichwa maji kabisa
wewe ni imani (dini) gani ? au ni atheist?Wewe ndiyo una uelewa mdogo sana hadi kuamini vitu vya kijinga na ndiyo maana waganga wanawatapeli sana pesa ,yaani ningekuwa nakufahamu ningekupa kucha zangu ,nywele na nguo ningekwambia kafanye chochote unachojua wewe halafu uone kama nitapata chochote kibaya.
Mimi hata wakati najenga watu walikuwa wanasema izindike wachawi watakuweke vitu usijenge nikaambia njoo site kwangu fukia hata kichwa cha mtu ,kaite wachawi wote waje kuweka mauchawi ,nikawaambia ukiona nimesimamisha ujenzi basi jua hela imekata nazichanga tena ,siamini kwenye vitu vya kiupumbavu ,wengi wanaoamini UCHAWI hata kimaisha wamepigika sana.
Ninayo imani mkuu ila siyo ya mizimu wala si atheist.wewe ni imani (dini) gani ? au ni atheist?
Wewe ni mzaiirwaa? Tongo Elamu. Sasa mwana kuzaii hivyo vitu tuvipeleke wapi vikichakaa? Maana kuvipiga moto nayo wanasema ni msalaKucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia .