Kuwa makini unapokutana na Mtu uliyefahamiana naye mtandaoni

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124


Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake kwako.

Ikiwa ni lazima kukutana naye, fanya utafiti kuhusu mtu huyo ili ufahamu ukweli wake, lakini hiyo haitoshi kumuamini.

Ukiamua kukutana naye, kamwe usiende peke yako, wajulishe wengine unakokwenda, ni vyema mkakutana mahali pa umma na uwe na simu yako ikiwa hewani.
 
Upvote 0
Sawa mkuu tutazingatia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…