Kuwa makini: Wapanga safari wengi hasa walio nje ya nchi sio waaminiffu

K
N

Nafikiri alimaanisha kupata Invitation Letter for US Visa , lazima amtumie broker na hapo ndipo kupigwa kunapoanzia.
Ukiwa umetokea baadhi ya mazingira huwezi ukaelewa upande mwingine wa mazingira ya watu wengine...

Yule mke wa mfalme wa ufaransa alishangaa watu kukosa mkate akawaambia "si mle keki" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwake alikuwa anaona watu wote wana hali kama yake tu!!
 
Nadhani kuna vitu haupo kwenye namna unaweza kuelewa!!

Ila maisha sio straight line kama baadhi yenu mlivyojaliwa!!
Umefafanua wanaoenda kujilipua. Hio ni gamble kuna kupata na kukosa. Kule west afrika wao wanazamia kabisa na boat kupitia Libya wengi wanafia njia wachache wanafika wanakotaka kwenda. Ni kamari mtu anaamua kucheza. Wethe rlife is straight or not.
 
Umefafanua wanaoemda kujilipua. Hio ni gamble kuna kuoata na kukosa. Kule west afrika wao wanazamia kabisa na boat kupitia Libya wengi wanafia njia wachache wanafika wanakotaka kwenda. Ni kamari mtu anaamua kucheza. Wetherlife is straight or not.
Sawa boss
Upo sahihi na umeshinda!!
 

Kila kitu kinahitaji focus na muda. Watoto wa kutoka maisha bora wakiamua wanasafiri ndani ya mwezi tu. Lakini kama sio mmoja wao unachotakiwa kufanya ni kuwa na mkwanja na kuendelea na shughuli zako town kama kawa, opportunity zipo nyingi mjini usikate tamaa.
 
Sawa boss
Upo sahihi na umeshinda!!
Kwani wewe ulikuwa unashindana? Usitegemee kila mtu awe na mlengo wako. Wewe umeamua kusafiri kutumia mtu usiemjua hio ni gamble unaweza kupata au kukosa. Hata wengine wanaingia ubalozini pia ni gamble hawapati visa na hela hazirudi. Ndio gharama za maamuI uliyochukua.
 
Sema mkuu kwa Elly David umejichnganya sana alikosa makaratasi US akakimbilia Canada akaanza kupondea kiwanja , masifa kibao na uongo uongo mwingi. Kawaliza wengi tu
 
Sema mkuu kwa Elly David umejichnganya sana alikosa makaratasi US akakimbilia Canada akaanza kupondea kiwanja , masifa kibao na uongo uongo mwingi. Kawaliza wengi tu
Ulikuwa mkenge tu aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Japo lengo kuu la kuleta Uzi ni kutoa tahadhari zaidi ili wengine yasije wakuta kama yaliyonikuta!

Na Mimi huenda ningeona tahadhari kama hii ningepona!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…