Kuwa mapacha shida

Kuwa mapacha shida

Joined
Jun 30, 2017
Posts
69
Reaction score
21
Jana ucku nimelala na pacha wangu tumefanana kila kitu sasa leo naogopa kuamka cjijui mm ndo nani hapa.

[emoji14][emoji14][emoji14]Jana ndo nilininiliu
.....[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Sikuizi hata mke na mume naskia wakiitana pacha.....
Sasa wewe mumeo ukimuita pacha hakuna ubaya kwakua ninyi mshakua mwili mmoja
 
Back
Top Bottom