Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira
Hawa watu hawashauriki na wanavipaji vya kulalamika, kwao kila kitu nongwa ni wabishi kama na wajuaj wa viwango vya SGR na kiurahisia hakuna walojua zaid ya kuwa waropokaji wazuri
Jana nimeiingia page ya Instagram ya utumishi kuangalia mkeka wa jana aisee hawa watu ni vituko.
Nikasema niende wasap aisee uko ndo karibu members wa group wote ni vilaza.
Unakuta wanalalamika wenzao kupata kazi, wao wanachojua kupata kazi ya ualimu lazma ufanye usail wa ualimu, yan hawa watu natamani wawe wanachapa viboko
Aisee najuta kuwa kada hii yenye wapumbavu wengi kuliko zote, bora ningekua hata mgambo wa jiji
Hahahahahaaaaa dogo kobazMilele amina mheshimiwa mungu
Na wewe hatujakuelewa unazungumzia nini mboni km unazunguka tu halafu huendi kwenye point umemaliza kuandika ila kiini cha uzi wako hujaandika umeacha gap nani aje kujaza?Nikasema niende wasap aisee uko ndo karibu members wa group wote ni vilaza.
Unakuta wanalalamika wenzao kupata kazi, wao wanachojua kupata kazi ya ualimu lazma ufanye usail wa ualimu, yan hawa watu natamani wawe wanachapa viboko
Aisee najuta kuwa kada hii yenye wapumbavu wengi kuliko zote, bora ningekua hata mgambo wa jiji
Unatafuta ugomvi wa kurushia majini shauri yakoNIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!
KENGE NYIE!
adriz
Wewe kuelewa ni mzito sana au ilkua unakunywa maziwa ya formula utotoni?Na wewe hatujakuelewa unazungumzia nini mboni km unazunguka tu halafu huendi kwenye point umemaliza kuandika ila kiini cha uzi wako hujaandika umeacha gap nani aje kujaza?
Umezunguka sana na hujaenda kwenye target area kwani ulikua unazungumzia nini?Wewe kuelewa ni mzito sana au ilkua unakunywa maziwa ya formula utotoni?
Hahaha mkuu natamani nione huo mtihani wote maana nahisi ni hatari
Mtihani unakutaka ukusanaye kila kipanga wa mjini unayemjua wewe😂 lipa maprofesa kusanya mbwa zote unazoziwaza aiseeee🫢Hahaha mkuu natamani nione huo mtihani wote maana nahisi ni hatari
Ila🤣🤣🤣🤣 sasa si umjibu na formulaWewe kuelewa ni mzito sana au ilkua unakunywa maziwa ya formula utotoni?
NapingaNje ya mada: hao watu wa "kobazi" ndio wala 🐖 🐷 wakuu.
Upo sahihi.Napinga
Sasa mbona na wewe unalalamika. Wote ndo walewale tuu kumbeKwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira
Hawa watu hawashauriki na wanavipaji vya kulalamika, kwao kila kitu nongwa ni wabishi kama na wajuaj wa viwango vya SGR na kiurahisia hakuna walojua zaid ya kuwa waropokaji wazuri
Jana nimeiingia page ya Instagram ya utumishi kuangalia mkeka wa jana aisee hawa watu ni vituko.
Nikasema niende wasap aisee uko ndo karibu members wa group wote ni vilaza.
Unakuta wanalalamika wenzao kupata kazi, wao wanachojua kupata kazi ya ualimu lazma ufanye usail wa ualimu, yan hawa watu natamani wawe wanachapa viboko
Aisee najuta kuwa kada hii yenye wapumbavu wengi kuliko zote, bora ningekua hata mgambo wa jiji
Huu mtihani ni wa wanaume, itabidi niende nikasome hapo niachane na US