Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

Mtihani unakutaka ukusanaye kila kipanga wa mjini unayemjua wewe😂 lipa maprofesa kusanya mbwa zote unazoziwaza aiseeee🫢
Nimechokaaa hatariiii, 😂😂😂😂😂😂
 
Kwani hii kada imelaaniwa?

Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.

Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira

Hawa watu hawashauriki na wanavipaji vya kulalamika, kwao kila kitu nongwa ni wabishi kama na wajuaj wa viwango vya SGR na kiurahisia hakuna walojua zaid ya kuwa waropokaji wazuri

Jana nimeiingia page ya Instagram ya utumishi kuangalia mkeka wa jana aisee hawa watu ni vituko.

Nikasema niende wasap aisee uko ndo karibu members wa group wote ni vilaza.

Unakuta wanalalamika wenzao kupata kazi, wao wanachojua kupata kazi ya ualimu lazma ufanye usail wa ualimu, yan hawa watu natamani wawe wanachapa viboko

Aisee najuta kuwa kada hii yenye wapumbavu wengi kuliko zote, bora ningekua hata mgambo wa jiji
Hujachelewa, mgambo bado wanahitajika, fursa hiyo
 
Back
Top Bottom