Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

Mtihani unakutaka ukusanaye kila kipanga wa mjini unayemjua weweπŸ˜‚ lipa maprofesa kusanya mbwa zote unazoziwaza aiseeee🫒
Nimechokaaa hatariiii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujachelewa, mgambo bado wanahitajika, fursa hiyo
 
Qumamaqe mbona kabla sijaona swali naenda maliwato kuchuja takamwili kwanza.

Em hilo swali tulioneee?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanalo wa-vietnamπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…