Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
mbona wachuuzi wa nguo za kichina akina Fred VUNJA BEI wametoboa na uchuuzi wao huo!Kama wewe ni mfanya biashara, zalisha bidhaa mwenyewe au ongeza thamani kwa namna moja au nyingine au toa huduma ( services) na sio kufanya uchuuzi.uchuuzi ni ujinga haukupeleki popote. bora ukaajiriwe uwe mtumwa halmashauri ya mpimbwe
Wametoboa wapi? Sema hujui behind the scene kinachoendelea wewembona wachuuzi wa nguo za kichina akina Fred VUNJA BEI wametoboa na uchuuzi wao huo!
ndo maana nipo JEI EFU nijuze hicho behind the scene na mie niwe muelewa kama weweWametoboa wapi? Sema hujui behind the scene kinachoendelea wewe
naunga mkono hojando maana nipo JEI EFU nijuze hicho behind the scene na mie niwe muelewa kama wewe
atupe na mifano ya hao walioongeza thamani na wametoboa bila kutumia hiyo mifumo ya wachuuzi akina vunja beindo maana nipo JEI EFU nijuze hicho behind the scene na mie niwe muelewa kama wewe