kuwa mkweli hapa ndani

kuwa mkweli hapa ndani

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD
 
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl
 
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD

Ili iweje sasa? Sijaona mantik
 
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl

yale maneno yoote na kuidharau UDOM kumbe unakwenda kusomea ualimu??
 
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl

me ndoto zangu zilishavurugika toka zamani tu ila kwa sasa najitahidi tu kukubaliana na hali halisi nami nikaamua kuangukia Baed
 
Uckate tamaa mwana komaa 2,bt make sure utakuja kuwa mwalimu mzuri kwa jamii ijayo....
 
dah! zimepotea kabisaa BA in busness admn ckuwahi fikilia hii saabu ishapotezaga direction.
 
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD

Hongera kwa kupata kozi ya ndoto yako,tafuta knowldge na sio kukalili emladi umalize chuo.MD itakuwa tamu zaidi ukisoma kwa kuelewa vitu na si kukalili.
 
yale maneno yoote na kuidharau UDOM kumbe unakwenda kusomea ualimu??
Ana deserve it!! Sa mtu mwenye kashfa kama huyo ulitaka aende Law tena MZUMBE/UDSM point atazitoa wapi kwanza
 
hapana w dgree ya B.A PA ina faida gan mtaan kama c o kupga tempo ya civics na gs

Hilo ndio tatizo kijana, unaongea vitu usivyo vijua, umesomea hiyo Ba PA ukaajiriwa kua mwalimu wa GS ama Civics??
1. Una dharau kama umechaguliwa Harvard
2. Msomi siku zote hana majigambo wala madharau.
3. Jua kua Ualimu ni Ualimu tu hata ukasome Wapi na mie nikasome UDOM haibadilishi kitu wote ni walimu sawa na ajira ni ileile. Unatukana kama unakwenda somea u-Rais bhana,
Act like msomi zama za kutambiana mashuleni zimepitwa na wakati kijana.
 
jamani mi nimechaguliwa mipango development economics, but ndoto yangu ilikuwa niwe muhasibu.
 
jamani mi nimechaguliwa mipango development economics, but ndoto yangu ilikuwa niwe muhasibu.

Je huko uliko chaguliwa uliomba?? kama ni ndio basi inaonekana ukiipenda, la sivyo ungeweka choices zote ziwe za Uhasibu.

Ushauri wangu ukifika chuo mapema nenda kaombe kubadilisha, unaweza bahatika.
 
mimi ndoto yangu ni b sc in geomatics(land surveying) pale ardhi university but ndio hivyo selection tcu bado wamezikalia..but nimeweka first choice!!..hope kila kitu kitakua sawa inshallah
 
sina ndoto mm,chochote kitachokuja mbele yangu napita nacho.ndoto bongo!
 
Back
Top Bottom