kuwa mkweli hapa ndani

kuwa mkweli hapa ndani

Mimi ndoto zangu zilishafutika zamani sana, nipo tu mtaani...
 
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD

Dunia bado inaendelea na hiyo hatua wengi tulifikia sasa kimbembe ni kufanya kazi ya ndoto yako.Muombe Mungu kwa hilo pia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl

Ndoto yako bado haijafutika kwenye uhasibu jaribu kufanya option nying ya masomo ya biashara kumbuka coz moja inaweza kukuajil sehemu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Imewatokea wengi ..
Ila pia ukikosa kile ulichokipenda inabid ukipende kile ulichokipata ili mambo twende sawa
 
Je huko uliko chaguliwa uliomba?? kama ni ndio basi inaonekana ukiipenda, la sivyo ungeweka choices zote ziwe za Uhasibu.

Ushauri wangu ukifika chuo mapema nenda kaombe kubadilisha, unaweza bahatika.

thanx my!
 
mimi ndoto yangu ni b sc in geomatics(land surveying) pale ardhi university but ndio hivyo selection tcu bado wamezikalia..but nimeweka first choice!!..hope kila kitu kitakua sawa inshallah

usijali utapata inshaallah! kwani we hukuona umechagulhwa wapi kupiti airtel?
 
nilitaka na ndoto za kuwa IT manager, guess what now, im a big time hacker...
 
Wengi wanaganga njaa tu mkuu. The day utakapoamua kuishi maisha ya ndoto yako ndio siku maisha yataanza kuleta maana.
 
Ndoto! Nilishaota sana na nimesha simuliwa ndoto nyingi sana ila ndoto hizo nyingi zilikuwa ni zakukatisha tamaa na zakutisha tu eg;unaota unakimbizwa na majangili au umelalia hela nyingii.
ILA CKUWAHI KUOTA NITAKUJA KUSOMEA NINI AU NITAKUJA KUWA NANI HAPO BAADAE! Labda nikilala nijaribu kujilazimisha kuota kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom