Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl
Hio ni bonge la course..wala usijutie kuchaguliwa..utakuja kukumbuka maneno yangu one day..
Je huko uliko chaguliwa uliomba?? kama ni ndio basi inaonekana ukiipenda, la sivyo ungeweka choices zote ziwe za Uhasibu.
Ushauri wangu ukifika chuo mapema nenda kaombe kubadilisha, unaweza bahatika.
Utachaguliwa chuo cha nyuki tabora
mimi ndoto yangu ni b sc in geomatics(land surveying) pale ardhi university but ndio hivyo selection tcu bado wamezikalia..but nimeweka first choice!!..hope kila kitu kitakua sawa inshallah
kibophile tu-hackie bac mavituz ya tcu na heslbnilitaka na ndoto za kuwa IT manager, guess what now, im a big time hacker...
ha ha ha,kiongozi bankjob ndo mpango,huko kudogo sana.
sina ndoto mm,chochote kitachokuja mbele yangu napita nacho.ndoto bongo!