Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Dah Mimi yaan naweza nikaenda mpaka dukan kununua condom nikaplan kabisa leo lazima nitumie condom ila cha kushangaza nikifika kwenye game nasahau condom.. sio Kama huwa nakulupuka hapana ila najikuta niashakula kuku bila kunawa mikono
 
Kuna sehem ukiingia hiyoo kitu inakua not applied... Wee unzungua wapi... Chumbani au ukila ofisi??!
 
Huwa natumia nikinunua mzigo lakini vichaka vyangu vya nyuma nikikutana navyo haijalishi ni muda gani umepita nauza mechi
 
Back
Top Bottom